Kwingineko
Man City, Real Madrid viwanja tofauti UCL
MICHEZO ya Ligi ya mabingwa Ulaya(UCL) hatua ya 16 bora inaanza leo kwa michezo miwili kupigwa viwanja tofauti.
Bingwa mtetezi Manchester Ciy itakuwa ugenini kuivaa FC Copenhagen kwenye wa Parken uliopo mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.
RB Leipzig itaikaribisha Real Madrid kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Red Bull uliopo mji wa Leipzig.