Nyumbani
Ligi mabingwa mikoa kuanza leo
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa Tanzania Bara(RCL) 2024 inaanza kutimua vumbi leo.
Michezo minne itapigwa viwanja tofauti katika mikoa ya Njombe, Pwani, Manyara na Mwanza.
Mechi hizo ni kama ifuayavyo:
KUNDI A(NJOMBE)
Hausing FC(Njombe) vs Tutes Hub(Ruvuma)
Uwanja wa Sabasaba
KUNDI B(PWANI)
Kiduli FC(Pwani) vs Black Six(dsm)
Uwanja wa Tamco
KUNDI C(MANYARA)
Reggae Boys(Manyara) vs Arusha City(Arusha)
Uwanja wa Tanzanite Kwaraa
KUNDI D(MWANZA)
Rock Solutions(Mwanza) vs Bweri FC(Mara)
Uwanja wa Nyamagana




