Winga wa timu ya Kiseke, Elias Phinias (kulia) akiwania mpira dhidi ya beki wa Kawekamo, David Fredrick wakati wa mashindano ya kombe la Angeline Jimbo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sabasaba jijini Mwanza. Timu hizo ziltoka sare ya bao 1-1. (Picha na Alexander Sanga).