BurudaniMuziki

Navy Kenzo : Tumemmis Vanessa…

DAR ES SALAAM: Wasanii wa Muziki wa Bongo fleva Aika na Nareal wanao unganisha kundi moja la Navy Kenzo wametoa yao ya moyoni kumkumbuka Vanesa Mdee, ‘V Money’

Navy Kenzo wamesema wame mkumbuka na wanaona pengo la Vanesa kwenye muziki.

“Sio mashabiki peke yao hata sisi tumemkumbuka sana tumefanya nae kazi tunatamani tuendelee na kazi, mashabiki wazidi kupiga kelele siku moja zitazaa matunda.”amesema Aika

Kwa sasa Vanessa yupo nchini Marekani na kipindi anaimba alifanya nyoma nyingi na Navy Kenzo hivyo wao wamemmis kwenye game.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button