AfricaAfrika Mashariki

Zanzibar U15 kubeba ubingwa CECAFA leo?

TIMU ya taifa ya Zanzibar ya vijana chini ya miaka 15 ‘Karume Boys’ leo inashuka dimbani katika mchezo wa fainali ya michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) dhidi ya Uganda.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa FTC Njeru uliopo jiji la Jinja, Uganda.

Zanzibar imetinga fainali ya baada ya kuitoa Sudan Kusini katika nusu fainali kwa mikwaju ya penalti 4-2 wakati Uganda imeitoa Tanzania kwa mabao 2-1.

Related Articles

Back to top button