Ligi Ya WanawakeNyumbani
Yanga Princess ugegeni SLWPL leo
LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inaendeleo leo kwa michezo mitatu.
Yanga Princess ipo ugegeni kukipiga na Mkwawa Queens kwenye uwanja wa Chuo cha Mkwawa mkoani Iringa.
JKT Queens itakuwa uwanja wa nyumbani wa Maj Gen Isamuhyo, Dar es Salaam kuivaa Alliance Girls wakati Amani Queens ni wageni wa Fountain Gate Princess.