Mapinduzi CupNyumbani

Yanga dimbani tena Mapinduzi Cup

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi 2024 inayofanyika Zanzibar inaendelea leo kwa michezo miwili.

Miamba ya Tanzania Bara, Yanga itashuka dimba la New Amaan Complex kuivaa Jamus ya Sudan Kusini mechi ya kundi C katika mchezo wa pili.

Mchezo wa awali wa kundi A utazikutanisha Vital’o ya Burundi itakayochuana na Azam.

Related Articles

Back to top button