Africa
Twiga Stars kazini WAFCON
![](https://spotileo.co.tz/wp-content/uploads/2023/11/twiga-1.jpg)
TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) leo inashuka dimbani katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake(WAFCON 2024) .
Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Mchezo wa marudiano utafanyika Togo Desemba 5, 2023.