AfricaAfrika Mashariki
Tanzania U18 ya 3 ubingwa CECAFA
TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 18 imeshika nafasi ya tatu katika michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) baada ya kuifunga Rwanda kwa mabao 3-1.
Mchezo huo umefanyika uwanja wa Jomo Kenyatta, Kisumu Kenya.
FULLTIME
Rwanda U18 🇷🇼 1️⃣-3️⃣ 🇹🇿Tanzania U18
Zidane Ally ⚽️
Said Said ⚽️
Mshetu⚽
Fainali ya michuano hiyo inafanyika leo kati ya Uganda na Kenya.