AfricaAfrika Mashariki

Tanzania U18 wanawake dimbani tena leo

TIMU ya Taifa ya soka wanawake kwa wenye umri chini ya miaka 18 leo inashuka tena dimbani kuikabili Ethiopia katika michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) inayoendelea Dar es Salaam.

Mchezo huo utafanyika uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Katika mchezo wa kwanza Tanzania U18 iliibamiza Burundi magoli 3-0.

Utakuwa mchezo wa pili kufanyika leo baada ya mchezo kati ya Uganda na Zanzibar.

Related Articles

Back to top button