Ligi Kuu

Simba wanahitaji nafasi yao

DAR ES SALAAM: SIMBA imepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold katika uliochezwa Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge.

Mabao ya Simba yamefungwa na Leonel Ateba. Kwa matokeo hayo Wekundu hao wa Msimbazi wanapanda hadi katika nafasi ya pili ikiwa na alama 31 ikiwa na michezo 12 wakiishusha Singida Black Stars wenye alama 30 huku Azam FC wakiongoza msimamo kwa alama 33 baada ya mechi 15.

Related Articles

Back to top button