Ligi KuuNyumbani

Mashujaa katika mtihani leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika Dar es Salaam.

Mashujaa inayosuasua ikiwa nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi ikikusanya pointi nane baada ya michezo nane itakuwa mgeni wa KMC kwenye uwanja wa Uhuru.

KMC ipo nafasi ya 5 ikiwa na pointi 16 baada ya michezo 10.

Related Articles

Back to top button