Ligi KuuNyumbani

Simba, Azam viwanja tofauti leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa Dar es Salaam.

‘Wekundu wa Msimbazi’, Simba itakuwa mwenyeji wa ‘Wanamangushi’, Coastal Union ya Tanga kwenye uwanja wa Uhuru wakati ‘Walima Alizeti’ Singida Fountain Gate itakuwa wageni wa ‘Matajiri wa Dar es Salaam’, Azam kwenye uwanja wa Azam Complex.

Katika mchezo mmoja wa ligi hiyo uliofanyika Septemba 20, mabingwa watetezi ‘Timu ya Wananchi’ Yanga imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya ‘Wauaji wa Kusini’, Namungo.

Related Articles

Back to top button