BundesligaEPLKwinginekoLa LigaSerie A

Patashika ligi 5 bora ulaya leo

BAADA ya vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal kuachia pointi muhimu kwa kutoa sare ya mabao 3-3 dhidi ya Southampton, mechi za ligi hiyo na ligi nyingine nne bora barani Ulaya zinaendelea leo.

Arsenal ina pointi 75 ikiwa imecheza michezo 32, miwili zaidi ya Manchester City iliyopo nafasi ya pili yenye pointi 70 ambayo leo itakipiga dhidi ya Sheffield United katika nusu fainali ya kombe la FA.

Mechi za ligi hizo ni kama ifuatavyo:

PREMIER LEAGUE
Fulham vs Leeds United
Brentford vs Aston Villa
Crystal Palace vs Everton
Leicester City vs Wolves
Liverpol vs Nottingham Forest

LALIGA
Osasuna vs Rea Betis
Almeria vs Athletic Bilbao
Real Sociedad vs Rayo Vallecano
Real Valladolid vs Girona
Real Madrid vs Celta Vigo

SERIE A
Salernitana vs Sassuolo
Lazio vs Torino
Sampdoria vs Spezia

BUNDESLIGA
Bochum vs Wolfsburg
Hertha Berlin vs Werder Bremen
Hoffenheim vs FC Cologne
Mainz vs Bayern Munich
Borussia Dortmund vs Eintracht Frankfurt

LIGUE 1
Auxerre vs Lille
Lens vs Monaco

Related Articles

Back to top button