Ligi Kuu
3 days ago
Gueye, Mngqithi wazoa tuzo Agosti
Nyumbani
3 days ago
Connor: Presha yote iko Yanga
Nyumbani
3 days ago
DAR ES SALAAM:NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma…
LONDON: MCHEKESHAJI wa Kiingereza Ross Noble amelazimika kupanga upya Shoo zake zijazo…
DAR ES SALAAM: SIO klabu ya Simba pekee inayovuna “Goli la Mama”…
DODOMA: MBUNGE wa Shaurimoyo, Ali Juma Mohamed, amepongeza kurejeshwa kwa Ligi ya…
DAR ES SALAAM:KAIMU Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Boniface Tamba amesema matengenezo…
PEMBA: KOCHA Mkuu wa JKU kutoka Zanzibar, Haji Nuhu, amefichua siri ya…
CAXIAS DO SUL: KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Santos Neymar Jr ameonesha uzalendo wa hali ya juu kwa klabu hiyo…
Read More »
LEEDS: BAADA ya kupoteza mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United kwa kufungwa mabao 3-1, kocha mkuu…
Read More »
MADRID: MSHAMBULIAJI wa Real Madrid Kylian Mbappé meisaidia klabu hiyo kukomesha mfululizo wa matokeo mabaya baada ya kucheza mechi tatu…
Read More »
LONDON: KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amekosoa ratiba ya Ligi Kuu England baada ya kiungo Declan Rice na beki Cristhian…
Read More »
DAR ES SALAAM: Msafara wa Baiskeli wa Nyerere Cycling Tour mwaka huu unatarajiwa kutoa madawati 1,000 kwa shule 10, kukarabati madarasa 40 na kujenga madarasa mapya 10, ikiwa ni sehemu…
DAR ES SALAAM: KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Libasse Gueye, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu msimu wa 2026/27, huku Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, akitwaa…
DAR ES SALAAM: MWANDAAJI wa Shindano la Miss Tanzania, Leah Mwendamseke ‘Lamata’, amesema mshindi wa Miss Zone ataondoka na gari, huku mshindi wa taji la Miss Tanzania naye akijinyakulia gari…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Gaborone United ya Botswana, Sean Connor, amesema presha kubwa ipo kwa Yanga kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akisema wenyeji watakuwa na…
NEW YORK, Marekani: ELENA Rybakina amefuzu kwa mara ya kwanza katika historia ya kucheza fainali ya US Open baada ya kuonesha moyo wa kupambana na kumshinda mwenyeji Coco Gauff kwa…
MADRID, Hispania: MADEREVA wa Formula One wanatarajia wikendi yenye presha, ajali na ushindani mkali katika mashindano ya ‘Circuito de Madring’ utakaofanyika kama Spanish Grand Prix kwa mara ya kwanza. Licha…