AFCON
13 hours ago
Taifa Stars yatua Nigeria, kazi kuanza
Nyumbani
13 hours ago
Yanga, JKT Queens watambiana
Mastaa
13 hours ago
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake na kufanikiwa…
Read More »
LAGOS: TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imewasili nchini Nigeria tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 dhidi ya wenyeji wao.…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Yanga Princess, Saidi Maulid, amesema kikosi chake kimejiandaa kwa nidhamu ya mbinu kukabiliana na JKT Queens katika mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja wa KMC kesho Dar…
LONDON: MCHEKESHAJI, Russell Brand amehukumiwa kifungo cha miaka 10 na miezi 6 gerezani. Kama inavyofahamika, hukumu hiyo imesomwa baada ya wiki iliyopita, Russell kupatikana na hatia katika shtaka moja la…
DAR ES SALAAM: MSANII wa Bongo Fleva, Queen Darleen amesherehekea kutimiza umri wa miaka 40, huku mume wake, Isihack, akitumia siku hiyo maalumu kumwandikia ujumbe wa hisia uliojaa upendo, shukrani…
MWANZA: MTOTO wa Rais wa Kenya, William Ruto, Charlene Ruto, amegusa hisia za waumini baada ya kueleza namna alivyomuomba Mungu amjaalie mume mwenye upendo na hofu ya Mungu, lakini hakutarajia…
DAR ES SALAAM: MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Hellena George ‘Ruby’, ametangaza rasmi kuachana na muziki wa kidunia na kuelekeza nguvu zake katika kuimba nyimbo za Injili pamoja na…