Kwingineko
3 hours ago
Sunderland yashinda dakika za mwisho
Muziki
3 hours ago
Jay-Z awekeza dola milioni 2
Tennis
10 hours ago
KOCHA Mkuu wa timu za taifa za wanawake, Bakari Shime amesema licha ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Cosafa, hana…
Read More »
YANGA leo inatarajiwa kupimana ubavu na timu ya JKU kutoka Zanzibar katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa kwenye Uwanja wa Azam…
Read More »
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema mazoezi wanayoendelea nayo yanampa matumaini ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya makundi…
Read More »
WAAMUZI wanne wa Tanzania, Florentina Zablon, Janeth Balama, Helen Mduma na Jonesia Rukyaa wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu…
Read More »
TORREENSE, URENO: TIMU ya Sunderland imepata ushindi wa kusisimua wa mabao 2-1 dhidi ya Torreense katika mchezo uliochezwa Ureno, baada ya Noah Sadiki kufunga bao la ushindi dakika ya 93.…
ZURICH, Uswisi: TIMU ya Bayer Leverkusen iliendeleza ushindi wake wa awali wa mabao 2-0 kwa kuichapa Lech Poznań ya Poland mabao 4-0. Bournemouth nayo ilifanya vyema katika mchezo wake wa…
NAIROBI, KENYA: SHIRIKISHO la Soka Kenya (FKF) linatarajiwa kunufaika na ufadhili kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), huku fedha hizo zikilenga kuimarisha maendeleo…
JEDDAH, SAUDI ARABIA: SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kushirikiana na Shirikisho la Michezo ya Kielektroniki la Saudi Arabia, limeahirisha fainali za mashindano ya FIFAe 2026 zilizokuwa zifanyike mjini…
MANCHESTER, ENGLAND: BEKI wa Manchester United, Lisandro Martinez, amesema hasira na kukatishwa tamaa kufuatia kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Atletico Madrid katika Ligi ya Mabingwa Ulaya ndizo zilizomfanya kuukosoa…
NEW YORK: MSANII maarufu wa muziki wa hip-hop kutoka Marekani, Jay-Z, aliripotiwa kuwekeza dola za Marekani milioni 2 katika kampuni ya usafiri wa kidijitali ya Uber mwaka 2013, uwekezaji ambao…