KOCHA Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake na kufanikiwa…
Read More »
SINGIDA: MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Ayoub Lyanga, amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons, huku akisisitiza kuwa wachezaji wote wana morali kubwa…
ARUSHA: TRA United itakuwa nyumbani kesho Juni 24, 2026 kuikaribisha Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu, huku kila timu ikiingia uwanjani ikiwa na dhamira ya kuondoka na pointi tatu…
DAR ES SALAAM: KAMATI ya Paralimpiki Tanzania (TPC) imezindua rasmi mashindano ya Taifa ya watu wenye Ulemavu, yatakayokuwa msingi wa kuibua vipaji na kuandaa timu ya taifa kwa ajili ya…
ZANZIBAR: YANGA na Azam zinakutana tena kesho katika mchezo wa Ligi Kuu utakaochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Zanzibar. Timu hizo zimetoka kukutana katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe…
TEXAS:USHINDI wa Argentina dhidi ya Austria katika Kombe la Dunia 2026 ulileta furaha kubwa kwa mashabiki wa Albiceleste, lakini pia ulimzawadia mwandishi mmoja wa habari kumbukumbu ambayo huenda akaisimulia maisha…
WINGA wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Jérémy Doku, anatarajiwa kuungana tena na wenzake kambini baada ya kusafiri kwenda London kushuhudia kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza wa kiume aliyepewa…