Africa
38 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
1 hour ago
Tyla aandika historia Grammy
Africa
2 hours ago
Tanzania na Morocco zitaendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta ya michezo. Waziri wa…
Kocha wa Yanga SC, Miguel Gamondi amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi…
KAMATI ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imemchagua…
SIMBA SC imeshinda mabao 6-0 dhidi ya Ngome FC katika mchezo wa…
WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kupisha michuano ya kimataifa, klabu mbalimbali…
TIMU ya soka ya Tabora United imesema licha ya kuanza vibaya kwa…
DAR ES SALAAM: MASHINDANO ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2025 yanazidi kunukia baada ya Shirikisho la…
Read More »
MIAMI: Klabu ya Real Madrid kupitia tovuti yake rasmi imetangaza kuwa Mshambuliaji wake Kylian Mbappe amelazwa hospitalini nchini Marekani kutokana…
Read More »
MILAN: Kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia Gennaro Gattuso ameahidi kurejesha ari na kuunda ‘familia’ katika timu hiyo…
Read More »
PHILADELPHIA: Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesifu kiwango kilichooneshwa na wachezaji wapya waliosajiliwa na kuingia moja kwa moja kwenye…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…