Matangazo: Maelekezo na Bei
TANGAZA NASI GAZETI, TOVUTI
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inatoa suluhisho la uainishaji na utangazaji mahususi katika magazeti yake ya Daily News, HabariLEO, na SpotiLeo, na pia kupitia program ya simu (TSN App) na majukwa ya mtandaoni ya Daily News Digital (Tovuti, mitandao ya kijamii na YouTube).
Tovuti zetu ni: www.dailynews.co.tz, www.habarileo.co.tz, www.spotileo.co.tz, na pia YouTube https://www.youtube.com/c/DailyNewsDigital. Majukwaa ya Mitandao ya Kijamii ni Instagram, Twitter, na Facebook.
BEI ZA KWENYE TOVUTI (TSH)
1 file(s) 500.78 KB
BEI ZA KWENYE GAZETI (USD)
1 file(s) 411.30 KB
BEI ZA KWENYE GAZETI (TSH)
1 file(s) 1.05 MB
Kupoteza Cheti cha Elimu
Kupitia magazeti yetu ya HabariLEO na Spotileo, tunatoa nafasi mahsusi kutangaza matukio ya kupotelewa na vyeti vya elimu kuanzia kidato cha Nne (O’ Level), Kidato cha Sita (A’ Level) na Chuo (Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu)1. Taarifa inayohitajika
A. Kidato Cha Nne- Jina lililo katika cheti kilichopotea
- Mwaka Uliomaliza Kidato cha Nne
- Jina la Shule uliyohitimu
- Nambari ya Cheti (Index Number)
- Jina lililo katika cheti kilichopotea
- Mwaka Uliomaliza Kidato cha Sita
- Jina la Shule uliyohitimu
- Nambari ya Cheti (Index Number)
- Jina lililo katika cheti kilichopotea
- Mwaka Ulio hitimu chuo
- Jina la Chuo ulichohitimu
- Nambari ya usajili (Registration Number)
- Jina la Kozi uliyohitimu
2. Viambata
Unapotuma tangazo hakikisha unaambatanisha picha ya mwenye cheti, pamoja na notisi ya polisi (Police Loss Report)3. Gharama
Matangazo yote ya kupotelewa na cheti cha elimu ni Sh 35,000. Gharama hii ni kwa hadi vyeti vitatu (3) ambavyo vina majina sawa.4. Muhimu
- Unapotuma tangazo hakikisha unatuma na namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano na timu yetu ya matangazo.
- Zingatia Malipo yote yanafanyika kwa njia za kielektroniki baada ya kupokea kumbukumbu namba ya malipo.
- Tangazo litachapishwa ndani ya saa 24 baada ya malipo kupokelewa.
Kupoteza Kadi ya Chombo cha Moto
Kupitia magazeti yetu ya HabariLEO na Spotileo, tunatoa nafasi mahsusi kutangaza matukio ya kupotelewa na Kadi ya Usajili wa vyombo vya moto vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji na Gari.1. Taarifa inayohitajika
A. Kadi ya Pikipiki- Jina lililo katika kadi iliyopotea
- Nambari ya Kadi
- Nambari ya Usajili ya pikipiki
- Aina ya pikipiki
- Nambari ya Chasis
- Nambari ya Injini
- Rangi ya Pikipiki
- Jina Jina lililo katika kadi iliyopotea
- Nambari ya Kadi
- Nambari ya Usajili ya Bajaji
- Aina ya Bajaji
- Nambari ya Chasis
- Nambari ya Injini
- Rangi ya Bajaji
- Jina Jina lililo katika kadi iliyopotea
- Nambari ya Kadi
- Nambari ya Usajili ya Gari
- Aina ya Gari
- Nambari ya Chasis
- Nambari ya Injini
- Rangi ya Gari
2. Viambata
Unapotuma tangazo hakikisha unatuma pamoja na notisi ya polisi (Police Loss Report)3. Gharama
Matangazo yote ya kupotelewa na kadi ya chombo cha moto ni Sh 50,150. Gharama hii ni kwa kadi moja tu.4. Muhimu
- Unapotuma tangazo hakikisha unatuma na namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano na timu yetu ya matangazo.
- Zingatia Malipo yote yanafanyika kwa njia za kielektroniki baada ya kupokea kumbukumbu namba ya malipo.
- Tangazo litachapishwa ndani ya saa 24 baada ya malipo kupokelewa.
Tangazo la kuomba Uraia
Kupitia magazeti yetu ya HabariLEO na Spotileo, tunatoa nafasi mahsusi kutangaza maombi ya uraia.1. Taarifa inayohitajika
Barua ya tangazo yenye taarifa zako kutoka ofisi za uhamiaji ikiwa imegongwa mhuri pamoja sahihi ya afisa wa uhamiaji2. Gharama
Matangazo yote ya kuomba uraia ni Sh 50,150.3. Muhimu
- Unapotuma tangazo hakikisha unatuma na namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano na timu yetu ya matangazo.
- Zingatia Malipo yote yanafanyika kwa njia za kielektroniki baada ya kupokea kumbukumbu namba ya malipo.
- Tangazo litachapishwa ndani ya saa 24 baada ya malipo kupokelewa.
Kupotelewa na Paspoti
Kupitia magazeti yetu ya HabariLEO na Spotileo, tunatoa nafasi mahsusi kutangaza matukio ya kupotelewa na hati za kusafiria (paspoti).1. Taarifa inayohitajika
- Jina lililo katika kwenye paspoti iliyopotea:
- Paspoti namba iliyopotea:
- Mahali ilipotolewa:
- Mwaka iliyotolewa:
- Namba ya simu
2. Viambata
Unapotuma tangazo hakikisha unaambatanisha picha ya mwenye hati iliyopotea, pamoja na notisi ya polisi (Police Loss Report)3. Gharama
Matangazo yote ya kupotelewa na hati ya kusafiria ni Sh 50,150. Gharama hii ni kwa hati moja tu.4. Muhimu
- Unapotuma tangazo hakikisha unatuma na namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano na timu yetu ya matangazo.
- Zingatia Malipo yote yanafanyika kwa njia za kielektroniki baada ya kupokea kumbukumbu namba ya malipo.
- Tangazo litachapishwa ndani ya saa 24 baada ya malipo kupokelewa.
Kubadili Jina
Kupitia magazeti yetu ya HabariLEO na Spotileo, tunatoa nafasi mahsusi kutangaza matangazo ya kubadilisha jina.1. Taarifa inayohitajika
- Jina la awali:
- Jina jipya:
- Tarehe ya kiapo:
- Namba ya simu:
2. Viambata
Unapotuma tangazo hakikisha unaambatanisha kura ya matendo (deed poll)3. Gharama
Matangazo yote ya kubadilisha jina ni Sh 50,150. Gharama hii ni kwa tangazo moja tu.4. Muhimu
- Unapotuma tangazo hakikisha unatuma na namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano na timu yetu ya matangazo.
- Zingatia Malipo yote yanafanyika kwa njia za kielektroniki baada ya kupokea kumbukumbu namba ya malipo.
- Tangazo litachapishwa ndani ya saa 24 baada ya malipo kupokelewa.
Kupotelewa na Cheti cha Usajili/Cheti cha Uchimbaji n.k
Kupitia magazeti yetu ya HabariLEO na Spotileo, tunatoa nafasi mahsusi kutangaza matukio ya kupotelewa na hati za usajili.1. Taarifa inayohitajika
- Jina la taasisi husika:
- Namba ya usajili:
- Tarehe ya usajili:
- Jina la Mamlaka iliyotoa Usajili:
- Namba ya simu
2. Viambata
Unapotuma tangazo hakikisha unaambatanisha notisi ya polisi (Police Loss Report)3. Gharama
Matangazo yote ya kupoteza hati za usajili au hati ya uchimbaji ni Sh 50,150. Gharama hii ni kwa tangazo moja tu.4. Muhimu