Kuelekea mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Liverpool dhidi ya Real Madrid,Majogoo wa Anfield wakishika nafasi ya 3 (alama 12 ) Los Blancos wao wapo nafasi ya 21 wakiwa na alama 6.
–
Klabu hizi mbili zimekutana mara 11 katika michuano ya Ulaya, na haya ndio matokeo yote pindi walipokutana:
–
Machi 15, 2023 Real Madrid: 1-0 Liverpool, Benzema (78)
Februari 21, 2023: Liverpool 2-5 Real Madrid , Nunez (4), Salah (14); Vinicius Jr (21, 36), Militao (47), Benzema (55, 67)
Mei 28, 2022: Liverpool 0-1 Real Madrid, Vinicius Jr (59)
Aprili 14, 2021: Liverpool 0-0 Real Madrid
Aprili 6, 2021: Real Madrid 3-1 Liverpool, Vinicius Jr (27, 65), Asensio (36); Salah (51)
Mei 26, 2018: Liverpool 1-3 Real Madrid, Benzema (51), Bale (64, 83); Mane (55)
Novemba 4, 2014: Real Madrid 1-0 Liverpool,
Benzema (27)
Octoba 24, 2014: Liverpool 0-3 Real Madrid ,
Ronaldo (23), Benzema (30, 41)
Machi 10, 2009: Liverpool 4-0 Real Madrid, Torres (16), Gerrard (28, 47), Dossena (88)
Februari 25, 2009 : Real Madrid 0-1 Liverpool,
Benayoun (82)
Mei 27, 1981: Real Madrid 0-1 Liverpool, Kennedy (81)
–
Michezo 11, Real Madrid imeshinda 7,Liverpool ikishinda mara 3 na sare 1.