MICHUANO ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa vijana chini ya miaka 20 inaendelea leo kwa michezo mitano kundi kundi A na B.
Michezo hiyo inafanyika Dar es Salaam, Mbeya, Kigoma, Kagera na Dodoma.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
TANZANIA PRISONS vs IHEFU
Uwanja wa Sokoine, Mbeya
SIMBA VS KMC
Kituo cha Ufundi, Kigamboni
KUNDI B
MASHUJAA vs TABORA UNITED
Uwanja wa Lake Tanganyika
KAGERA SUGAR VS GEITA GOLD
Uwanja wa Kaitaba
DODOMA JIJI VS MTIBWA SUGAR
Uwanja wa Jamhuri