Ligi KuuNyumbani

Geita Gold vs KMC mechi ya mtego

LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mmoja mkoani Geita.

KMC ya Dar es Salaam ni mgeni wa Geita Gold katika uwanja wa Nyankumbu uliopo Halmashauri ya Geita.

Geita Gold na KMC zote zina pointi 13 na zimecheza michezo 10 kila moja lakini KMC inashika nafasi ya 9 na Geita Gold ipo nafasi ya 10 kutokana na tofauti ya magoli ya kufunga.

Katika mchezo mmoja wa ligi hiyo uliopigwa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Novemba 10 Coastal Union imeibuka mbabe dhidi ya wenyeji Tanzania Prisons kwa mabao 2-0.

Related Articles

Back to top button