BundesligaEPLKwinginekoLa LigaSerie A

Dortmund vs Bayern: Dabi ya kibabe leo

MICHUANO ya mpira wa miguu inazidi kushika kasi duniani leo zikipigwa mechi kadhaa za kukata na shoka ikiwemo dabi ya kijerumani kati ya Borussia Dortmund na Bayern Munich.

Mechi za ligi kubwa 5 Ulaya zenye msisimko ni kama ifuatavyo:

PREMIER LEAGUE
Fulham vs Manchester United
Brentford vs West Ham United
Burnley vs Crystal Palace
Everton vs Brighton
Manchester City vs Bournemouth
Sheffield United vs Wolves
Newcastle United vs Arsenal

LALIGA
Osasuna vs Girona
Real Betis vs Mallorca
Celta Vigo vs Sevilla
Real Sociedad vs Barcelona

SERIE A
Salernitana vs Napoli
Atalanta vs Inter
AC Milan vs Udinese

BUNDESLIGA
FC Cologne vs Augsburg
Freiburg vs Borussia M’bach
Hoffenheim vs Bayer Leverkusen
Mainz vs RB Leipzig
Union Berlin vs Eintracht Frankfurt

LIGUE 1
Lorient vs Lens
Marseille vs Lille

Related Articles

Back to top button