Tetesi

AC Milan yamgeukia Cheek

AC Milan wanakaribia kuafikiana na Ruben Loftus-Cheek juu ya mkataba wa muda mrefu, baada ya mawasiliano ya moja kwa moja kuanza wiki mbili zilizopita.

Mazungumzo kati ya Milan na Chelsea yanaendelea ili kufikia makubaliano kamili juu ya ada.

Milan ipo kwenye mkakati wa kuboresha kikosi chao baada ya msimu huu kuisha bila kikombe chochote.

Related Articles

Back to top button