Ligi Ya WanawakeNyumbani
Yanga Princess dimbani leo

LIGI Kuu ya soka kwa Wanawake Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa mkoani Dodoma.
Katika mchezo huo kwenye uwanja wa Jamhuri Yanga Princess ni wageni wa Baobab Queens ya Makao Makuu ya nchi.
Michezo mitatu ya Ligi Kuu ya wanawake imepigwa Januari 11 na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
Mkwawa Queens 0-2 Simba Queens
Amani Queens 0-6 JKT Queens
Fountain Gate Princess 4-0 Alliace Girls