Africa

Yanga kumaliza leo?

WAWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo inashuka dimbani dhidi ya ASAS Djibouti ukiwa mchezo wa marudiano kuamua timu ipi itasonga mbele kwenye michuano hiyo.

Mchezo huo ambao Yanga imeupa kauli mbiu ‘𝐌𝐀𝐗 𝐃𝐀𝐘, Wananchi 𝐍𝐢 𝐌𝐰𝐞𝐧𝐝𝐨 𝐖𝐚 𝐊𝐮𝐜𝐡𝐨𝐦𝐞𝐤𝐞𝐚 𝐓𝐮!’ utafanyika uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Agosti 20 Yanga ilishinda kwa mabao 2-0, ASAS Djibouti ikiwa mwenyeji kwenye uwanja huo huo.

Mshindi wa jumla atakutana na Al-Merreikh ya Sudan iliyoitoa AS Otoho ya Jamhuri ya Congo katika hatua inayofuata.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button