Africa

Twiga Stars dimbani WAFCON

TIMU ya taifa ya soka ya wanawake(Twiga Stars) leo inashuka dimbani dhidi ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake(WAFCON) zitakapofanyika Morocco, 2024.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Yamoussoukro, Ivory Coast.

Mechi za kufuzu zilizopigwa Septemba 21 ni kama ifuatavyo:

Rwanda 0-7 Ghana
Eswatini 2-3 Burkina Faso
Uganda 1-2 Algeria
Misri 4-0 Sudan Kusini
The Gambia 2-3 Namibia
Guinea 8-0 Mauritius
Guinea Bissau 0-1 Congo

 

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button