Kwingineko

Tanzania yapaa viwango vya FIFA

TIMU ya taifa ya Tanzania @taifastars_ imepanda kwa nafasi 6 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Novemba 28,2024, kutoka nafasi ya 112 na sasa inashika nafasi ya 106.
Majirani Kenya wameonekana kushuka kwa nafasi mbili, kutoka 106 mpaka 108, Uganda wameshuka kwa nafasi moja, kutoka 87 mpaka 88 huku Zambia wakipanda kwa nafasi 7, kutoka nafasi ya 94 mpaka 87.

‘Top’10 bora kisoka duniani.
1. Argentina
2. Ufaransa
3. Hispania
4. England
5. Brazil
6. Ureno
7. Uholanzi
8. Ubelgiji
9. Italy
10. Ujerumani

‘Top’ 10 ya Africa
1. Morocco
2. Senegal
3. Egypt
4. Algeria
5. Nigeria
6. Ivory Coast
7. Cameroon
8. Mali
9. Tunisia
10. Afrika Kusini

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button