Kwingineko
Patashika UEL, UECL leo

MICHUANO ya ligi za UEFA za Europa (UEL) na Conference (UECL) hatua ya 16 bora inaendelea leo kwa michezo 15 kupigwa viwanja tofauti.
Mechi za Ligi ya Europa ni kama ifuatavyo:
Qarabag FK vs Bayer Leverkusen
Roma vs Brighton
Sparta Prague vs Liverpool
AC Milan vs Slavia Prague
Benfica vs Rangers
Freiburg vs West Ham United
Marseille vs Villarreal
Katika ligi ya conference michezo hiyo ni kama ifuatavyo:
Ajax vs Aston Villa
Molde vs Club Brugge
Olympiacos vs Maccabi Tel Aviv
Sturm Graz vs Lille
Dinamo Zagreb vs PAOK FC
Maccabi Haifa vs Fiorentina
Servette vs Viktoria Plzen
Union St. Gilloise vs Fenerbahce