Ligi Ya WanawakeNyumbani

Patashika ligi kuu wanawake leo

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (SLWPL) inaendelea kwa michezo miwili katika mikoa ya Dodoma na Iringa.

Baobab Queens itakuwa mwenyeji wa Amani Queens kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Alliance Girls itakuwa mgeni wa Ceasiaa Queens kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.

Related Articles

Back to top button