Nyumbani
Kilimanjaro vs Heroes ufunguzi Amaan
TIMU ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) inashuka dimbani leo kuikabili Zanzibar Heroes katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Zanzibar.
Mchezo huo ni maalumu wa ufunguzi wa uwanja wa Amaan uliofanyiwa ukarabati.
Vikosi vya timu zote mbili vimekuwa kwenye maandalizi kwa ajili ya mchezo huo.