AFCON
11 hours ago
KUELEKEA mchezo wa kufuzu Ligi ya mabingwa Afrika kati ya Yanga na Al Hilal ya Sudan Oktoba 8, Kocha Mkuu…
Read More »
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland analipwa pauni zinazokaribia 900,000 sawa na shilingi bilini 2.35 kwa wiki, ripoti zimesema. Nyota…
Read More »
RAIS wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amewaahidi wachezaji wa timu hiyo kuwa watapata zawadi ya fedha endapo wataifunga…
Read More »
TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17(Serengeti Boys) leo inaanza kampeni ya kufuzu fainali za Kombe…
Read More »
SOUTHAMPTON: MMILIKI wa klabu ya Southampton nchini England Dragan Solak, amesema hatamfukuza kazi kocha mkuu wa timu hiyo Tonda Eckert, licha ya kuhusishwa na sakata la kupeleleza mazoezi ya timu…
DAR ES SALAAM:MSEMAJI wa timu za taifa za soka nchini, Haji Manara, amesema safari ya Watanzania zaidi ya 100 kuelekea Morocco kwa ajili ya fainali ya Mataifa ya Afrika kwa…
DAR ES SALAAM: MICHUANO ya Soka la Wanawake kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Afrika Mashariki na Kati inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka ukanda huo…
ZANZIBAR:TAMASHA Kimataifa la filamu Afrika Mashariki, Zanzibar International Film Festival (ZIFF), limeanza kuteka headlines baada ya waandaaji wake kutangaza rasmi filamu 65 pekee kutoka nchi mbalimbali duniani ndizo zitakazosshindanishwa katika…
LOS ANGELES:SEKTA ya filamu nchini Marekani inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa baada ya waandaaji wa maudhui waliotokea kwenye jukwaa la YouTube kuanza kupata nafasi katika uzalishaji wa filamu kubwa za Hollywood.…
NAIROBI:TIMU ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars, imefanya mabadiliko kadhaa katika kikosi chake kinachoendelea kujiandaa kwa mechi za kirafiki za kimataifa zitakazochezwa mwezi Juni mwaka huu. Mabadiliko hayo yanalenga kuimarisha…