Africa
25 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
1 hour ago
BAADA ya tetesi kuwa kocha wa Sporting Lisbon, Ruben Amorim amekubaliana na Liverpool kuifundisha msimu ujao, Mreno huyo amekanusha kuchukua…
Read More »
MANCHESTER City wanaongoza kwenye harakati za kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Jamali Musiala. Kwa mujibu wa mtandao wa Independent wa…
Read More »
ULINZI mkali utaimarishwa kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa kufuatia taarifa ya chombo kimoja cha habari kilichoripotiwa kuunga mkono kundi…
Read More »
KLABU ya Saudi Pro League Al-Ittihad iko tayari kutoa pauni milioni 70 kwa mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…