MUNICH: Kocha mkuu wa ‘Wabavaria’ Bayern Munich Vincent Kompany amesema anaamini kikosi chake kipo katika mwelekeo sahihi licha ya kutoonja…
Read More »
MANCHESTER: Klabu ya Manchester United imethibitisha kiungo wake wa kati wa Kobbie Mainoo atakuwa nje kwa wiki kadhaa baada ya…
Read More »
BARCELONA: MKATABA wa mshambuliaji kinara wa FC Barcelona Robert Lewandowski utaongezwa moja kwa moja mpaka Juni 2026 ikiwa mshambuliaji huyo…
Read More »
NOTTINGHAM: Siku chache baada ya klabu ya Nottingham forest kupigwa faini ya pauni Laki 720 baada ya chapisho lake kwenye…
Read More »
DAR ES SALAAM: WABUNIFU wa mavazi, wanamitindo na washonaji nchini wamepewa mafunzo ya elimu ya fedha yenye lengo la kuinua biashara zao, kuongeza ajira kwa vijana na kuchangia ukuaji wa…
DAR ES SALAAM: BARAZA la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limewataka wadau wote wa Kiswahili wenye nia ya kushiriki katika Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili, litakalofanyika jijini Paris, Ufaransa,…
DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves, amekoshwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake akisema wataendelea kupambana kushinda na kulinda heshima ya rangi zake. Kauli yake hiyo…
DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Classic, ametoa ujumbe mzito kwa watu wanaojitambulisha kuwa ni marafiki au watu wake wa karibu, akiwataka kupunguza…
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki wa kushoto Nikson Kibabage, akisisitiza kuwa ni mchezaji mwenye…
SAFARI ya muziki ya Aaliyah Dana Haughton ni hadithi ya kipaji, ujasiri, mafanikio makubwa na majonzi yasiyosahaulika. Alizaliwa Januari 16, 1979 huko Brooklyn, Marekani, na akalelewa Detroit, ambako vipaji vyake…