Africa
15 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
57 minutes ago
LUBUMBASHI: KIKOSI cha Yanga kitashuka dimbani kesho kusaka alama tatu muhimu katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya…
Read More »
DAR ES SALAAM: NI habari njema kwa mashabiki wa Simba, baada ya beki Abdulrazack Hamza na kipa, Aishi Manula kurejea…
Read More »
DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema…
Read More »
DAR ES SALAAM: KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo nchini kuelekea Lubumbashi na matumaini ya kusaka pointi muhimu katika mchezo wa…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…