NyumbaniU20

Nusu fainali ya kibabe Ligi Kuu U20 leo

MECHI mbili za nusu fainali ya Ligi Kuu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20(U20) zinapigwa leo Dar es Salaam.

Nusu fainali ya kwanza itakuwa kati ya Kagera Sugar dhidi ya Geita Gold wakati ya pili itazikutanisha Mtibwa Sugar na Azam.

Michezo yote itafanyika uwanja wa Azam Complex ulipo Chamazi.

Related Articles

Back to top button