Habari Mpya

Mwanza Queens, Singida Warriors zatinga robo fainali WRCL

TIMU za Mwanza Queens na Singida warriors leo zimetinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa ya Wanawake (WRCL) yanayoendelea katika viwanja vya shule za Alliance mkoani Mwanza.

Mwanza Queens wamefuzu baada ya kushinda kwa mabao 4-0 dhidi ya Icon queens.

Naye Singida warriors imefuzu hatua hiyo baada ya kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya Black Mamba.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button