EuropaKwingineko
Moto kuwaka Ligi ya Europa leo

VIWANJA vinane vitawaka moto leo wakati timu 16 zitakapovaana katika michuano ya Ligi ya Europa hatua ya 16 bora.
Baadhi ya miamba ya soka Ulaya iliyoingia hatua hiyo ni pamoja na Arsenal, Manchester United, Juventus na Roma.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
Bayer Leverkusen vs Ferencvaros
Roma vs Real Sociedad
Sporting CP vs Arsenal
Union Berlin vs Union St. Gilloise
Juventus vs Freiburg
Manchester United vs Real Betis
Sevilla vs Fenerbahce
Shakhtar Donetsk vs Feyenoord