Mastaa

Mmemsikia Ommy Dimpoz?

DAR ES SALAAM: MSANII wa Kizazi Kipya nchini Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amerusha dongo kwa msanii mwenzake Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnumz’ kuwa tajiri namba moja Duniani labda iwe Duniani ya Masenze.

Ommy Dimpoz amesema hayo katika sherehe ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa usiku wa kuamkia leo.

Dimpoz ameongeza kuwa hawezi kuwahudumia watu wa Wasafi alipelekewa bili ya Milioni sita akashangaa imetoka wapi?

“Tulikuwa tunapati mara nikaletewa bili ya Sh Milioni 6 nikashangaa gafla akatokea mlinzi wa Diamond Platnumz Onesmo aka hukuja ile bili na kumpeleka kwa tajiri namba moja duniani akalipa hiyo pesa.”amesema Ommy Dimpoz

Related Articles

Back to top button