BundesligaKwinginekoLa LigaSerie A
Mitanange Ligi Kuu 4 Ulaya

MICHEZO ya soka maeneo mbalimbali duniani inaendelea leo ikiwemo ya Ligi Kuu nne barani Ulaya.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
LALIGA
Deportivo Alaves vs Athletic Club
SERIE A
Salernitana vs Frosinone
Lecce vs Genoa
BUNDESLIGA
VfB Stuttgart vs Darmstadt
LIGUE 1
Monaco vs Nice