BundesligaEPLKwinginekoLa Liga
Mitanange ligi 4 bora Ulaya leo

MICHUANO ya mpira wa miguu ya ligi mbalimbali duniani zikiwemo ligi nne bora barani Ulaya inaendelea leo.
Mechi za Ligi Kuu England, Hispania, Ujerumani Ufaransa ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Burnley vs Luton Town
LALIGA
Sevilla vs Deportivo Alaves
BUNDESLIGA
Bayern Munich vs Hoffenheim
LIGUE 1
Marseille vs Strasbourg