BurudaniMuziki

Maimartha:Diamond hawezi kumuacha zuchu

DAR ES SALAAM: Mtangazaji mkongwe nchini MaiMartha Jesse, ‘Mai’ amesema Msanii Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnum’ hawezi kumwacha Zuhura Othuman ‘Zuchu’ kwani anaingiza pesa nyingi wasafi.
 
MaiMartha amesema kuwa kutokana na kuingiza pesa nyingi kwenye lebo hiyo ndio sababu ya Diamond kuwa naye kwenye mahusiano.
 
“Diamond Kapita kwa wanawake wengi kwanini kwa Zuchu yupo nae muda mrefu kwasababu anaingiza pesa nyingi wasafi.”
 
“Zuchu kwa sasa ndio Diamond ajae kwa wasanii wa kike anapiga kazi anaanzaje kuachwa haiwezekani kuachwa anafaida nae.”amesema MaiMartha

Related Articles

Back to top button