Africa

Kocha Simba aitaka robo fainali CAF

KOCHA Mkuu wa Simba Roberto Oliviera amesema wanawahameshimu wapinzani wao katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Horoya lakini wamejiandaa kukikamilifu kuhakikisha wanashinda mechi ya marudiano.

Simba iliyopo kundi C ikishika nafasi ya pili itashuka dimba la Benjamin Mkapa Machi 18 kuikabili klabu hiyo ya Afrika Magharibi.

“Lengo letu ni moja kushinda na kuingia robo fainali,” amesema Oliviera katika mkutano na waandishi wa habari leo.

Raja Casablanca inashika nafasi ya kwanza katika kundi hilo ikiwa na alama 12 baada ya michezo 4, Simba ina alama 6, Horoya alama 4 na Vipers ina alama 1.

Related Articles

Back to top button