MECHI za soka zinaendelea leo maeneo mbalimbali duniani kwenye viwanja tofauti.
Mchezo pekee wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) kati ya Cameroon na Burundi utapigwa kwenye uwanja wa Roumdé Adjia uliopo mji wa Garoua, Cameroon.
Kufuzu Kombe la Mataifa ya Ulaya ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Norway vs Georgia
Hispania vs Cyprus
KUNDI C
Italia vs Ukraine
Malta vs Macedonia ya Kaskazini
KUNDI F
Ubelgiji vs Estonia
Sweden vs Austria
KUNDI I
Israel vs Belarus
Romania vs Kosovo
Uswisi vs Andorra
Katika mchezo pekee wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 ukanda wa Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini (CONMEBOL), Bolivia itakuwa nyumbani uwanja wa Hernando Siles jijini La Paz kuikaribisha Argentina.
Nazo mechi za kirafiki za kimataifa mitanange ni kama ifuatavyo:
Kenya vs Sudan Kusini
Philippines vs Afghanistan
Singapore vs Chinese Taipei
China vs Syria
Japan vs Uturuki
Bahrain vs Turkmenistan
Afrika Kusini vs DR Congo
Iran vs Angola
Azerbaijan vs Jordan
Costa Rica vs UAE
Misri vs Tunisia
Ghana vs Liberia
Korea Kusini vs Saudi Arabia
Scotland vs England
Ujerumani vs Ufaransa
Senegal vs Algeria
Morocco vs Burkina Faso
Ivory Coast vs Mali