World Cup

Kadi nyekundu ya kwanza Kombe la Dunia

GOLIKIPA wa timu ya taifa ya Wales, Wayne Hennessey leo amekuwa mchezaji wa kwanza kutolewa uwanjni kwa kadi nyekundu katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea Qatar.

Iran imeshinda kwa mabao 2-0 katika mechi ya awali kundi B dhidi ya Wales.

Hennessy amezawadiwa kadi hiyo nyekundu baada ya kumcheza mrafu Mehdi Taremi wa Iran katika dakika dakika 86.

Bao la kwanza la Iran limefungwa na Rouzbeh Cheshmi dakika 98 huku Ramin Rezaeian akipigilia msumari wa mwisho dakika ya 101.

Related Articles

Back to top button