World Cup

Al Ahly vs Al Ittihad ClubWC leo

MICHUANO ya Kombe la Dunia la Klabu inaendelea nchini Saudi Arabia kwa michezo miwili kupigwa leo

Miamba ya Afrika, Al Ahly itakiwasha dhidi ya Al Ittihad ya Saudi Arabia kwenye uwanja wa King Abdullah Sports City katika jiji la Jeddah.

Club León ya Mexico itamenyana na Urawa Reds ya Japan katika mchezo utakaotangulia utakaofanyika uwanja wa Prince Abdullah Al-Faisal uliopo jiji hilo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button