Nyumbani
Kabelege rasmi ni mwanakinondoni

WAKATI msimu mpya wa mashindano tayari umeanza na dirisha la uhamaisho na usijaili likikaribia kufungwa, klabu ya KMC imetangaza kumsajili Emmanuel Kebelege.
“𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 @officiall_emma_raymond. Rasmi mlinzi 𝗘𝗠𝗠𝗔𝗡𝗨𝗘𝗟 𝗥𝗔𝗬𝗠𝗢𝗡𝗗 𝗞𝗔𝗕𝗘𝗟𝗘𝗚𝗘 ni mwanakinondoni akitokea Azam Fc akisaini kandarasi ya mwaka mmoja,” imesema KMC.
Dirisha kubwa la uhamisho na usajili wa wachezaji litafungwa Agosti 31, 2023.