LIGI Kuu Kenya inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye uwanja wa Sportpesa uliopo mji wa Murang’a.
Mabingwa watetezi na vinara wa ligi hiyo Gor Mahia itakuwa ugegeni dhidi ya KCB kutafuta mwendelezo wa ushindi.
Gor Mahia inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 63 baada ya michezo 29 ikishinda 18 wakati KCB ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 33 baada ya michezo 28.