Tetesi

Barca kumsajili Cancelo wiki hii

BARCELONA itamsajili Joao Cancelo wiki hii kutoka Manchester City katika dili ltakalomfanya aondoke kwa mkopo wa awali.

Mtandao wa michezo, Marca wa Hispania umesema klabu hiyo ya Katalunya na Manchester City zinajadili mkopo wa msimu mzima kwa ajili ya beki huyo kukiwa na chaguo la kumnunua kwa kiasi ambacho sasa kinajadiliwa.

Marca imesema Barcelona imefanya mazungumzo na wakala wa Cancelo, Jorge Mendes na kumwambia nia ya klabu hiyo.

Pande zote zina matumaini dili litakamilika

Related Articles

Back to top button